Propellerads

Usajili wa gharama zaidi kufanywa na Man United




Huku usajili ukiendelea Ulaya, ambapo Man United wakiwa wametumia pesa nyingi nyingi
mpaka sasa. Lakini kuna nyota ambao walisajiliwa na mashetani wekundu kwa gharama kubwa zaidi.

Mwaka jana Man United walimsajili Di Maria kwa kiasi kilichovunja rekodi cha euro mil 75 lakini anataka kuondoka baada ya msimu mmoja pekee.

Rio Ferdinand anafatia kwa kua wa gharama zaidi ikiwa amezidiwa kiasi cha pauni mil 29 na Di Maria huku Juan Mata akiwa ni nyota wa tatu kusajiliwa kwa gharama zaidi.

Hapa ni orodha ya wachezaji waliopata kusajiliwa kwa gharama zaidi Man United kama ilivyoorodheshwa na Transfermarket

1) Angel Di Maria (Real Madrid) – 14/15 – €75 million 
2) Rio Ferdinand (Leeds) – 02/03 – €46 million 
3) Juan Mata (Chelsea) – 13/14– €44.73 million 
4) Juan Sebastian Veron (Lazio) – 01/02 – €42.6 million 
5) Dimitar Berbatov (Tottenham) – 08/09 – €38 million 
6) Luke Shaw (Southampton) – 14/15 – €37.5 million 
7) Wayne Rooney (Everton) – 04/05 – €37 million 
8) Ander Herrera (Athletic) – 14/15 – €36 million 
9) Morgan Schneiderlin (Southampton) – 15/16 – €35 million 
10) Marouane Felleini (Everton) – 13/14 – €32.4 million 
Usajili wa gharama zaidi kufanywa na Man United Usajili wa gharama zaidi kufanywa na Man United Reviewed by Steve on Wednesday, July 22, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.