UEFA mambo yanaanza leo....angalia hapa
Michuano ya Uefa Champions League inatimua vumbi leo kwa timu zile zinacheza raundi ya
kwanza ya kufuzu.
Klabu ya Dila Gori ya Geogia inakabiliana vikali na Partizan Belgrade ya Serbia, huku FC Pyunik ya Armenia ikichuana uso kwa uso na Molde ya Norway.
Milsami ya Boldova itapimana nguvu na Ludo Bulgaria.
Ratiba ya mechi zote za Klabu Bingwa barani Ulaya leo hii hapa chini:
UEFA mambo yanaanza leo....angalia hapa
Reviewed by Steve
on
Tuesday, July 21, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment