Rooney kutupia uzi wa klabu yake ya zamani ya Everton,
Wayne Rooney ambae ametokea club ya Everton na kuhamia Manchester united kwa mara nyingine tena
anatarajiwa kuvaa jezi ya Everton baada ya muda mrefu. Baada ya kufanya vizuri kwenye uwanja wa Goodison Park Sir Alex alimsaini na kujiunga na red devils.
Sasa kwenye kusherekea farewell ya mchezaji legend Duncan Ferguson ambae aliwai kucheza na Rooney ndani ya Liverpool, Rooney atavaa jezi ya Everton kwa ajili ya kucheza mechi ya legend huyu.
Kwenye mechi hiyo ambayo itachezwa mwezi ujao dhidi ya Villareal, Rooney anasema “Siwezi kufikiria jinsi gani ya kumshukuru Dunc kwa kile ambacho amenifanyia. Kama mchezaji mdogo nilikua nakua kwa uangalizi wake na kumuona kama mfano kwangu”
Rooney kutupia uzi wa klabu yake ya zamani ya Everton,
Reviewed by Steve
on
Monday, July 20, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment