Man United kumsainisha Pedro
Manchester United wako katika hatua za mwisho kumnasa winga wa Barcelona,
Pedro, ripoti zinadai.
Louis van Gaal anadaiwa kujipanga juu ya kumpoteza Di Maria anayetaka kuelekea PSG, amabapo anafanya mpango wa haraka kumnasa nyota atakaechukua nafasi yake.
Upepo wa Pedro klabuni kwake kwa sasa umekua katika sintofahaamu, kwani anadaiwa kutaka kuchezea klabu ambayo atapata kikosi cha kwanza zaidi, na kwa mujibu wa Daily Mail tayari Barca na Man United wamekubaliana dau la pauni mil 22.
Ilimchukua muda Pedro kukubali mpango huo, na sasa anaonekana kua na furaha.
Pedo ameifungia Barca magoli 13 kwa msimu uliopita.
Man United kumsainisha Pedro
Reviewed by Steve
on
Monday, July 27, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, July 27, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment