Propellerads

Hii ndio top 10 ya wachezaji ma-forward 'expensive' zaidi katika historia




Uhamisho wa Raheem Sterling kutoka Liverpool kwenda Man City umemfanya nyota huyo kuingia katika
orodha ya maforward wenye gharama zaidi katika historia, lakini bado yuko nyuma ya wakali wengine kama Ronaldo na Neymar, hapa chini nimekuletea orodha ya forward ambao wlivunja rekodi katika usajili.

Top 10 ya wachezaji maforward wenye gharama zaidi, kama ilivyoorodheshwa na Transfermarket

1) Gareth Bale (Tottenham to Real Madrid) – €100 million (13/14)

2) Cristiano Ronaldo (Man Utd to Real Madrid) – €94 million (09/10)

3) Neymar (FC Santos to Barcelona) – €83.5 million (13/14)

4) Luis Suarez (Liverpool to Barcelona) – €81 million (14/15)

5) Zlatan Ibrahimovic (Inter to Barcelona) – €69.5 million (09/10)

6) Edinson Cavani (Napoli to Paris Saint-Germain) – €64.5 million  (13/14)

7) Raheem Sterling (Liverpool to Manchester City) – €62.5 million (15/16)

8) Falcao (Atletico Madrid to Monaco) – €60 million (13/14)

9) Fernando Torres (Liverpool to Chelsea) – €58.5 million (10/11)


10) Hernan Crespo (Parma to Lazio) – €55 million (00/01)


Hii ndio top 10 ya wachezaji ma-forward 'expensive' zaidi katika historia Hii ndio top 10 ya wachezaji ma-forward 'expensive' zaidi katika historia Reviewed by Steve on Wednesday, July 22, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.