Ratiba na matokeo ya Ligi Kuu ya Uingereza.

Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea wikiendi hii kwa michezo ya mzunguko wa 36 inayochezwa kwenye viwanja mbalimbani tofauti nchini humo.
Kila timu inaonyesha kujiandaa kufanya vizuri katika kuhakikisha inapata matokeo mazuri ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi hiyo ambayo inaenda kumalizika mwezi huu.
Chelsea ambao wameshanyakua Ubingwa msimu wakiwa na
pointi 83 kileleni huku wakifuatiwa na Manchester City wanayoshika nafasi ya pili wakiwa na pointi 70 wakati Burnley wakiendelea kushika mkia kwa kuwa na pointi 26.
pointi 83 kileleni huku wakifuatiwa na Manchester City wanayoshika nafasi ya pili wakiwa na pointi 70 wakati Burnley wakiendelea kushika mkia kwa kuwa na pointi 26.
Ifuatayo ni ratiba na matokeo ya michezo yote ya EPL ya wikiendi hii:

| Muda | Mwenyeji | Matokeo | Mgeni |
| Jumamosi | |||
| FT | Everton | 0 - 2 | Sunderland |
79' | Aston Villa | 1 - 0 | West Ham United |
79' | Hull City | 0 - 1 | Burnley |
77' | Leicester City | 2 - 0 | Southampton |
79' | Newcastle United | 1 - 1 | West Bromwich Albion |
79' | Stoke City | 2 - 0 | Tottenham Hotspur |
| 19:30 | Crystal Palace | vs | Manchester United |
Ratiba na matokeo ya Ligi Kuu ya Uingereza.
Reviewed by Steve
on
Saturday, May 09, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment