Mourinho: Nitatumia muda mwingi Beach kuliko kusajili wachezaji.
Wakati Manchester na timu nyingine wakiwa busy kutafuta wachezaji, The Special One anasema yeye atakua busy na taulo lake beach na kuogelea.
![]() |
| Mourinho |
“Nategemea kuwa busy nikitembea kutoka kwenye mchanga na kwenda kwenye maji na kuogelea kidogo, then narudi kwenye jua tena. Hicho ndicho kitu ambacho nitakua nafanya sehemu mbalimbali”
“Nakipenda kikosi changu sana, kuna wachezaji wenye umri mdogo na nafasi ya kuongeza uwezo wao. Nipo kwenye nafasi tofauti na msimu uliopita, nilikua nauza sana wachezaji lakini kwasasa hivi nina furaha na pia nawaweka wachezaji wangu. Lengo msimu uliopita ni kuuza na kununua wachezaji wapya. Lakini lengo la sasa hivi ni ku-keep hiki kikosi na kukiendeleza zaidi”.
Jose aliongeza zaidi kwamba hatakuwa busy kusajili wachezaji wapya kwenye kipindi cha usajili kikifika.
Mourinho: Nitatumia muda mwingi Beach kuliko kusajili wachezaji.
Reviewed by Steve
on
Sunday, May 17, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, May 17, 2015
Rating:

.jpg)


No comments:
Post a Comment