Juve waivua ubingwa Madrid
Morata ameiadhibu klabu yake ya zamani na kuunyamazisha mji wa Madrid baada ya mabingwa hao watetezi wa UEFA, Real Madrid kuvuliwa taji lao walilotwaa mjini Lisbon mwaka jana wakiifunga Atletico Madrid.
Mechi ya kwanza iliyopigwa uwanja wa
Juventus mjini Turin, Juve walishinda magoli 2-1 na kutokana na sare ya leo wanatinga fainali kwa ushindi wa jumla wa magoli 3-2.
Licha ya matokeo hayo, mechi ya leo imebalansi kwa muda mrefu na timu zote zimemilikia mpira asilimia 50 kwa 50, lakini dakika za mwisho Real wameongeza asilimia za kumiliki mpira mpaka kufikia 53 kwa 47.
Juventus tangu droo ya nusu fainali ilipotoka, watu wengi waliwadharau, lakini wamefanikiwa kutinga fainali itayofanyika juni 6 mwaka huu mjini Berlin, Ujerumani dhidi ya Barcelona fc.
Barca walitinga fainali jana kwa ushindi wa jumla wa magoli 5-3 dhidi ya Bayern Munich.
Mechi ya kwanza Camp Nou, Barca walishinda 3-0 na jana usiku walifungwa 3-2.
Takwimu za mechi.

Real Madrid
Juventus
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
|
Juve waivua ubingwa Madrid
Reviewed by Steve
on
Thursday, May 14, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, May 14, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment