Ronaldo mfungaji bora UEFA kwa msimu wa tatu mfululizo.
Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amekua mfungaji bora wa michuano ya klabu bingwa Ulaya ( UCL) kwa misimu
mitatu mfululizo.
Mreno huyo anayekipiga na Real Madrid, ametupia net mara 10 huku akilingana na wakali wengine ambao ni Lionel Messi na Neymar wanaokipiga FC Barcelona, hivyo itabidi kushea tuzo hiyo.
Kama Messi angeweza kutupia mechi ya fainali angemzidi Ronaldo kwa goli moja, huku Neymar alipata bao la kumi baada ya kuifungia Barca katika fainali.
Tuzo hii itakua ni ya nne kwa Ronaldo, baada ya kuchukua msimu wa 2007/08, 2012/13 na 2013/14.
Ronaldo mfungaji bora UEFA kwa msimu wa tatu mfululizo.
Reviewed by Steve
on
Monday, June 08, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, June 08, 2015
Rating:
