Propellerads

Unajua Klopp anamkubali mchezaji gani Premier League, mwenyewe afunguka




Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amefichua kuhusu
mchezaji gani wa EPL anayemkubali zaidi.

Klopp ambaye tangu ajiunge na Liverpool amefikisha karibia mwaka sasa alihudhuria kipindi cha Jamie Carragher kwenye Sky Sports' Monday Night Football, aliulizwa mchezaji gani anaefikiria ni hatari zaidi kutoka vilabu vingine pinzani.



"Ninampenda David Silva, sijajua kama unaweza kusema ni hatari ila ni mchezaji mwenye maajabu. Yupo kila sehemu na ni mzuri zaidi," alisema Klopp.

"Kwa sasa sisikii jina lake kwa sana kama alivyoanza kwa maajabu Man City lakini nina uhakika ana majukumu mengine na ninapenda staili yake ya uchezaji"
Unajua Klopp anamkubali mchezaji gani Premier League, mwenyewe afunguka Unajua Klopp anamkubali mchezaji gani Premier League, mwenyewe afunguka Reviewed by Steve on Tuesday, September 27, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.