Simba watokomea Zanzibar kuweka kambi
Kikosi cha Simba kimeondoka leo mchana kikitumia usafiri wa boti kwenda mjini
Zanzibar kuanza kambi
Simba ikiongozwa na Kocha Mkuu, Dylan Kerr na benchi zima la ufundi inaingia kambini Zanzibar baada ya kambi ya kwanza mjini Lushoto.
Simba iliweka kambi kutafuta nguvu, kasi na uimara wa wachezaji.
Sasa inakwenda Zanzibar kwa ajili ya kambi itakayohuisha masuala ya kiufundi zaidi kiuchezaji ikiwa ni pamoja na kucheza mechi za kirafiki
Simba watokomea Zanzibar kuweka kambi
Reviewed by Steve
on
Tuesday, July 21, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment