Stars kucheza na Misri, Uganda
![]() |
| Stars katika moja ya mechi |
Kuelekea katika mchezo wake na Uganda, iliyo nafasi ya Read more
71 katika viwango vya dunia vya FIFA, Nooij amesema kuwa michuano ya Cosafa Cup itakayochezwa Afrika ya Kusini Mei 17 itaisaidia kujiandaa na mechi hiyo pamoja na ile ya mapharao wa Misri.
Uganda imealikwa nchini Rwanda katika mashindano maalumu ya kukumbuka wanamichezo waliouawa mwaka 1994 katika mauaji ya kimbali.
Kocha wa Uganda, Mserbia Milutin ‘Micho’ Sredojevic amesema mualiko wa Rwanda utaisaidia The Cranes kujiimalisha na mechi yao dhidi ya Stars, ambayo imeiweka Tanzania nafasi ya 107 katika viwango vya FIFA.
Stars kucheza na Misri, Uganda
Reviewed by Steve
on
Friday, May 08, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment